Miss Tanzania 2010 contestants

Our Background

 • Washiriki 30 wa Fainali za REDD'S Miss Tanzania 2010 tayari wameshaingia kambini katika hotel ya Kitalii ya Giraffe iliyopo eneo la Jangwani karibu na White sands. Washiriki hao kutoka Kanda 9 na mikoa mbalimbali ya Tanzania watakuwa kambini kwa muda wa wiki 4 kuanzia Tarehe 16 Agosti hadi 11 Septemba 2010 siku ambayo Fainali hizo zitafanyika katika ukumbi wa Mlimani City uliopo jijini D’salaam.

 • Wakiwa kambini washiriki wote watapata fursa ya kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu masuala ya urembo ambayo yatakuwa yakitolewa na Wataalamu mbalimbali waliobobea katika masuala ya urembo.

[ Press release] | [ video clips]

 • 1. PILI ISSA
  TABORA KANDA YA KATI

  Occupation / Kazi au Shughuli :
  MWANAFUNZI WA KUJITEGEMEA
  Height /Urefu : 1m 67cm
  Ambition / Matarajio ya baadaye :
  KUWA AFISA UTAMADUNI
  Hobbies /Unapendelea nini :
  UWANAMITINDO

 • 2. GLORY MWANGA
  ARUSHA KASKAZINI

  Occupation / Kazi au Shughuli :
  STUDENT
  Height /Urefu : 1m.69cm
  Ambition /Matarajio ya baadaye :
  KUWA MWASIBU
  Hobbies /Unapendelea ni :
  KUBADILISHANA MAWAZO NA WENZANGU

 • 3. FLORA FLORENCE
  MOROGORO MASHARIKI

  Occupation / Kazi au Shughuli :
  MWANAFUNZI
  Height /Urefu : 1m.68cm
  Ambition /Matarajio ya baadaye :
  KUWA MWANASIASA
  Hobbies /Unapendelea ni :
  KUSOMA VITABU

 • 4. GENEVIEVE EMMANUEL
  CHANG’OMBE TEMEKE

  Occupation / Kazi au Shughuli :
  STUDENT
  Height /Urefu :1m.90cm
  Ambition /Matarajio ya baadaye :
  INTERNATIONAL RELATIONS OFFICER
  Hobbies /Unapendelea ni :
  SWIMMING AND READING NOVELS

 • 5. BEATRICE PREMSIGH
  DODOMA KATI

  Occupation / Kazi au Shughuli :
  STUDENT
  Height /Urefu : 1m.84cm
  Ambition /Matarajio ya baadaye :
  TO BECOME A FEMOUS BEAUTY
  Hobbies /Unapendelea ni :
  READING, SWIMMING AND TRAVELING

 • 6. PENDO SAM
  IFM ELIMU YA JUU

  Occupation / Kazi au Shughuli :
  STUDENT
  Height /Urefu : 1m.89cm
  Ambition /Matarajio ya baadaye :
  TO BECOME A SUPER MODAL
  Hobbies /Unapendelea ni :
  TO LISTEN AMUSIC

 • 7. IRENE HEZRON
  DAR INDIAN O KINONDONI

  Occupation / Kazi au Shughuli :
  STUDENT
  Height /Urefu : 1m.82cm
  Ambition /Matarajio ya baadaye :
  KUWA MBUNIFU WA MAVAZI
  Hobbies /Unapendelea ni :
  KUSOMA VITABU NA KUOGELEA

 • 8. PRINSCA MKONYI
  KILIMANJARO KASKAZINI

  Occupation / Kazi au Shughuli :
  CUSTOMER CARE / ROBBIALAC
  Height /Urefu : 1m.82cm
  Ambition /Matarajio ya baadaye :
  KUWA MBUNIFU WA MAVAZI
  Hobbies /Unapendelea ni :
  KUSOMA VITABU NA KUOGELEA

 • 9. CONSOLATA LUKOSI
  TABATA ILALA

  Occupation / Kazi au Shughuli :
  STUDENT
  Height /Urefu : 1m.87cm
  Ambition /Matarajio ya baadaye :
  BUSINESS WOMAN
  Hobbies /Unapendelea ni :
  MUSIC

 • 10. JALLY MUREI TANGA
  KASKAZINI

  Occupation/ Kazi au shughuli :
  Mwanafunzi
  Height/ Urefu : 1M 68cm
  Ambition/ Matarajio ya badaae :
  Muigizaji bora
  Hobbies/ Unapendelea nini :
  Kuangalia tamthilia na kusikilza muziki

 • 11. MARY KAGALI IRINGA
  NYANDA ZA JUU

  Occupation/ Kazi au shughuli :
  Student
  Height/ Urefu : 1M 87cm
  Ambition/ Matarajio ya badaae :
  Mtangazaji wa kimataifa
  Hobbies/ Unapendelea nini :
  kusoma vitabu, kubadilishana mawazo

 • 12. MARY ADAM
  MOROGORO KASKAZINI

  Occupation/ Kazi au shughuli :
  Mwalimu wa computer
  Height/ Urefu : 1M 67cm
  Ambition/ Matarajio ya badaae :
  Kuwa mwanamitindo
  Hobbies/ Unapendelea nini :
  Kusoma vitabu,kuogelea, kusafiri

 • 13. BRITNEY URASSA
  CHANG’OMBE TEMEKE

  Occupation/ Kazi au shughuli :
  Student
  Height/ Urefu : 1M 63cm
  Ambition/ Matarajio ya badaae :
  Becoming an international relation officer
  Hobbies/ Unapendelea nini :
  Playing long tennis, travelling

 • 14. AMISUU MALIK
  SINZA KINONDONI

  Occupation/ Kazi au shughuli :
  Chuo cha computer
  Height/ Urefu : 1M 66cm
  Ambition/ Matarajio ya badaae :
  Business woman
  Hobbies/ Unapendelea nini :
  Music, swimming

 • 15. FURAHA DAVID
  RUVUMA NYANDA ZA JUU

  Occupation/ Kazi au shughuli :
  about to start college
  Height/ Urefu : 1M 65cm
  Ambition/ Matarajio ya badaae :
  Becoming a lawyer
  Hobbies/ Unapendelea nini :
  Reading books and designing

 • 16. SHADIA MOHAMED
  MBEYA NYANDA ZA JUU

  Occupation/ Kazi au shughuli :
  Mwanafunzi
  Height/ Urefu : 1M 83cm
  Ambition/ Matarajio ya badaae :
  Mwanamitindo
  Hobbies/ Unapendelea nini :
  Mitindo

 • 17. ANGELINA NDEGE
  LINDI MASHARIKI

  Occupation/ Kazi au shughuli :
  Form six leaver
  Height/ Urefu : 1M 68cm
  Ambition/ Matarajio ya badaae :
  Economist
  Hobbies/ Unapendelea nini :
  Dancing, swimming, traveling

 • 18. ANNA DAUDI
  CHANG'OMBE TEMEKE

  Occupation/ Kazi au shughuli :
  student
  Height/ Urefu : 1M 63cm
  Ambition/ Matarajio ya badaae :
  Politician
  Hobbies/ Unapendelea nini :
  Swimming, playing football

 • 19. MARGARETH GODSON
  SHINYANGA ZIWA

  Occupation / Kazi au shughuli :
  STUDENT
  Height / Urefu : 1M 20 CM
  Ambition / Matarajio ya baadaye :
  TO BECOME A MODEL
  Hobbies / Unapendelea nini :
  READING FASHIONS MEGAZINES

 • 20. BUDURI IBRAHIM
  SHINYANGA ZIWA

  Occupation/ Kazi au shughuli :
  Higher learning student
  Height/ Urefu : 1M 69cm
  Ambition/ Matarajio ya badaae :
  Mfanyabiashara
  Hobbies/ Unapendelea nini :
  Muziki,kucheza na watoto

 • 21. RACHEL SINDBAD
  UDOM ELIMU YA JUU

  Occupation/ Kazi au shughuli :
  Higher learning student
  Height/ Urefu : 1M 80cm
  Ambition/ Matarajio ya badaae :
  Development planner & modal designer
  Hobbies/ Unapendelea nini :
  Singing, reading novels, chatting

 • 22. WANDE MASEGESE
  SINGIDA KATI

  Occupation/ Kazi au shughuli :
  Mwanafunzi
  Ambition/ Matarajio ya badaae :
  Mwanamitindo
  Height/ Urefu : 1M 82cm
  Hobbies/ Unapendelea nini :
  Kuongea na marafiki

 • 23. SALMA MWAKALUKWA
  DA CITY CENTRE ILALA

  Occupation / Kazi au shughuli :
  STUDENT
  Education / Elimu :
  TUMAINI UNIVERSITY LAW STUDENT
  Height / Urefu : 1M 83 CM
  Ambition / Matarajio ya baadaye : TO BECOME A LAWYER

 • 24. FLORA MARTIN
  IFM ELIMU YA JUU

  Occupation/ Kazi au shughuli :
  Mwanafunzi
  Ambition/ Matarajio ya badaae :
  Kuwa msimamizi wa majanga
  Height/ Urefu : 1M 88cm
  Hobbies/ Unapendelea nini :
  Kucheza mpira wa mikono

 • 25. CHRISTINE JUSTINE
  CHUO K. HURIA CHUO K. HURIA

  Occupation/ Kazi au shughuli :
  Mwanafunzi
  Height/ Urefu : 1M 64cm
  Ambition/ Matarajio ya badaae :

  Hobbies/ Unapendelea nini :
  Urembo, kuchati,kusoma vitabu mbalimbali

 • 26. FATMA IBRAHIM
  MARA ZIWA

  Occupation/ Kazi au shughuli :
  Mwanafunzi
  Height/ Urefu : 1M 60cm
  Ambition/ Matarajio ya badaae :
  Kuwa mfanyabiashara
  Hobbies/ Unapendelea nini :
  Kuimba

 • 27. BAHATI CHANDO
  DAR CITY C. KINONDONI

  Occupation/ Kazi au shughuli :
  Mwanafunzi
  Height/ Urefu : 1M 65cm
  Ambition/ Matarajio ya badaae :
  Kuwa mfanyabiashara
  Hobbies/ Unapendelea nini :
  Kupanda milima, kuogelea,shopping

 • 28. ESTHER DENNIS
  UDSM DARUSO

  Occupation/ Kazi au shughuli :
  Mwanafunzi
  Height/ Urefu : 1M 70cm
  Ambition/ Matarajio ya badaae :
  To be a renown politician
  Hobbies/ Unapendelea nini :
  Reading books, watching TV ,travelling

 • 29. ALICE LUSHIKU
  DAR INDIAN OC KINONDONI

  Occupation/ Kazi au shughuli :
  Mwanafunzi
  Height/ Urefu : 1M 63cm
  Ambition/ Matarajio ya badaae :
  International business woman
  Hobbies/ Unapendelea nini :
  Shopping, listening to kids ideas

 • 30. WILEMI ETAMI
  DODOMA KANDA YA KATI

  Occupation/ Kazi au shughuli :
  Student
  Height/ Urefu : 1M 63cm
  Ambition/ Matarajio ya badaae :
  Role model
  Hobbies/ Unapendelea nini :
  Swimming,chatting, exchanging ideas


 •  


 •