Miss Tanzania 2011 contestants

Our Background

 • REDD'S Miss Tanzania aliemaliza muda wake,Genavive Mpangala akimvisha taji la ushindi wa REDD'S Miss Tanzania,Sarha Israel mara baada ya kutangazwa hivi punde.
  Kwa ushindi huo Sarha Israel anakuwa REDD'S Miss Tanzania 2011-2012 na kunyakua gari aina ya Jeep lenye thamani ya shilinngi milioni 72 lililotolewa na wadhamini wakuu kampuni ya simu za mkononi REDD'S Tanzania na Kampuni ya kuuza magari ya CFAO MOTORS ya jijini Dar es salaam
  Shindano hilo limemalizika usiku huu kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam ambapo blogu yako ya Umma MPEKUZI ilikuwepo katika eneo la tukio na kukujulisha matukio hayo moja kwa moja katika kukuhabarisha zaidi juu ya shjindano hilo kubwa nchini..

[ Press release]

 • 1. LEYLA JUMA, NYANDA YA JUU KUSINI SMS MREMBO 1 TO 15550

   

 • 2. JENIFFER KAKOLAKI, ILALA SMS MREMBO 2 TO 15550

   

 • 3. MWAJABU JUMA, TEMEKE SMS MREMBO 3 TO 15550

   

 • 4. MARIACLARA MATHAYO, KANDA YA MASHARIKI SMS MREMBO 4 TO 15550

   

 • 5. CYNTHIA KIMASHA, TEMEKE SMS MREMBO 5 TO 15550

   

 • 6. CHRISTINE WILLIAM, NYANDA ZA JUU KUSINI SMS MREMBO 6 TO 15550

   

 • 7. HAMISA HASSAN, KINONDONI SMS MREMBO 7 TO 15550

   

 • 8. ALEXIA WILLIAMS, ILALA SMS MREMBO 8 TO 15550

   

 • 9. STACY ALFRED, KANDA YA KASKAZINI SMS MREMBO 9 TO 15550

   

 • 10. ASHA SALEH, KAND A YA MASHARIKI SMS MREMO 10 TO 15550

   

 • 11. ZUBEDA SEIF, KANDA YA KASKAZINI SMS MREMBO 11 TO 15550

   

 • 12. ROSE HUBERT, KANDA YA KASKAZINI SMS MREMBO 12 TO 15550

   

 • 13. MAUA KIMAMBO, KANDA YA KATI SMS MREMBO 13 TO 15550

   

 • 14. GLORY SAMUEL, KANDA YA ZIWA SMS MREMBO 14 TO 15550

   

 • 15. NEEMA MTITU, CHUO KIKUU HURIA SMS MREMBO 15 TO 15550

   

 • 16. ATU DANIEL, NYANDA ZA JUU KUSINI SMS MREMBO 16 TO 15550

   

 • 17. BLESSING NGOWI, ELIMU YA JUU SMS MREMBO 17 TO 15550

   

 • 18. WEIRUNGU DAVID, CHUO KIKUU HURIA SMS MREMBO 18 TO 15550

   

 • 19. CHIARU MASONOBO, CHUO KIKUU CHA DSM SMS MREMBO 19 TO 15550

   

 • 20. IRENE KARUGABA, KANDA YA ZIWA SMS MREMBO 20 TO 15550

   

 • 21. DELILLAH GHALIB, KANDA YA KATI SMS MREMBO 21 TO 15550

   

 • 22. TRACY SOSPETER, KANDA YA ZIWA SMS MREMBO 22 TO 15550

   

 • 23. HUSNA TWALIB, TEMEKE SMS MREMBO 23 TO 15550

   

 • 24. LOVENESS FLAVIAN, KANDA YA MASHARIKI, SMS MREMBO 24 TO 15550

   

 • 25. CHRISTINE MWEGOHA, KANDA YA KATI SMS MREMBO 25 TO 15550

   

 • 26. HUSNA MAULID, KINONDONI SMS MREMBO 26 TO 15550

   

 • 27. ZERULIA MANOKO, KANDA YA KATI SMS MREMBO 27 TO 15550

   

 • 28. SALHA ISRAEL, ILALA SMS MREMBO 28 TO 15550

   

 • 29. GLORY LORY, HIGHER LEARNING SMS MREMBO 29 TO 15550

   

 • 30. STELLA MBUGE, KINONDONI SMS MREMBO 30 TO 15550

   


 •  


 •